Baadhi ya wabunge wa Bunge la jamhuri la Muungano la Tanzania kutoka CCM na upinzani wameungana na kuhaidi kuwaumbua baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC wanaodaiwa kuomba fedha toka IPTL ili kulinyamazisha suala lao Bungeni,mmoja wa wajumbe anaetajwa sana ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh. Zitto Kabwe ambaye nyaraka mbalimbali zinaonyesha uhusika wake kwenye kuchukua kiasi cha fedha toka IPTL kupitia mwanasheria wake Albert Msando.
SOURCE JAMBO LEO JUMAPILI.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon