Mwenyekiti wa Kamati ya PAC, Mheshimiwa Zitto Kabwe amemkana Wakili wake kuwa hajawahi kumtuma kuchukua fedha yoyote Escrow na wala hamtambui mwanamke anayedaiwa kufanya transaction kwa niaba yake anaesemekana ni katibu wa Bunge.
SOURCE GAZETI MZALENDO JUMAPILI
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon