Mexico imeidhinisha kuhamishiwa
Marekani mlangunzi mkuu wa madawa ya kulevya, Joaquin Guzman, almaarufu
El Chapo, ili ashtakiwe kwa mauaji na ulanguzi wa madawa ya kulevya.
Wizara
ya Mashauri ya Kigeni ya imesema kuwa Marekani imehakikishia taifa hilo
jirani kuwa Guzman hatahukumiwa kifo katika kesi zinazomkabili.SOURCE:BBC SWAHILI
EmoticonEmoticon