Maurinho Rasmi Manchester United Unknown 22:16 picha: Maurinho na Van Gaal. Imeshafahamika rasmi sasa kuwa kocha Jose Maurinho atachaguliwa na Uongozi wa Manchester United "Red Devils" kuwa Manager Mpya wa timu hiyo na kuziba Pengo la Van Gaal ambaye anaachia mikoba kilabuni hapo. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+
EmoticonEmoticon