RAMAPHOSA: HAKUNA KINGA YA RAISI ZUMA DHIDI YA MASHITAKA YANAYOMKABILI Unknown 05:25 Raisi wa Chama cha ANC Cyril Ramaphosa ameiambia Kamati Kuu ya Chama hicho kuwa Hakuna kinga dhidi ya mashitaka yanayomkabili Raisi wa nchi ya Afrika Kusini Bwana Jackob Zuma.Na sio moja ya makubaliano katika kukabidhiana madaraka. Chanzo: News24 Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+
EmoticonEmoticon