HATIMAYE UKWELI UMEBAINIKA FEDHA ZA ESCROW SIO ZA UMMA

Baada ya sintofahamu ya muda mrefu hatimaye imebainika kuwa fedha za escrow si fedha za umma bali malipo halali yaliyokubaliwa kwa mujibu ya sheria kati ya Tanesco,IPTL na BOT(kama wakala wa Escrow)
kama malipo halali yaliyotokana na mauzo ya umeme uliozalishwa na IPTL kwa TANESCO na kuhifadhiwa na BENKI KUU(kama wakala wa Escrow) kutokana na mgogoro baina ya wanahisa wa IPTL yaani Mechmar na VIP,ambapo ilikubaliwa kuwa baada ya kumaliza mgogoro wao malipo hayo yataidhinishwa walipwe,hivyo baada ya PAP kuinunua Mechmar iliyokuwa na hisa 70% na kisha kuinunua VIP iliyokuwa inamiliki 30% ya hisa za IPTL,hivyo PAP kuwa mmiliki wa asilimia mia wa IPTL ambapo alikubali kununua hadi madeni ya IPTL,aliomba kuidhinishiwa malipo yake yaliyokuwa ya mehifadhiwa katika akaunti ya ESCROW maana kisheria alipaswa kulipwa kama mmiliki na kama mkataba wa escrow unavyosema,hapa chini ni baadhi ya screenshot za mikataba ya escrow.













source: Mwandishi Wetu

3 comments

Kwasisi waelevu tulishagundua hii filimbi inayopulizwa na KAFULILA ni ya udongo wa kinyesi. KAFULILA anatumika kwa maslahi ya mafisadi wakubwa wakina MKONO, MENGI na ROSTAM kwa maslahi yao siyo kwa maslahi ya WATANZANIA kama anavyojipambanua. NASISI WANAKIGOMA KUSINI TUNAMSUBIRI HUKU JIMBONI MANNA YEYE SIKATULEKEZA KAAMUA KUWAHUDUMIA WAKINA MKONO, MENGI NA ROSTAM

KAFULILA UMBWA KABISA HII, INAKAA INATUMIKA KWAKUTUDANGANYA WATANZANIA KWA MASLAHI YA MABEPARI WACHACHE. KWAHIYO YEYE ALITAKA PESA YA ESCROW ALIPWE NANI???

Kafulila katuaibisha sana,nimesoma jinsi alivyokula rushwa mil 90 za kina mengi na rostam ili kuwakomoa wakina muhongo,hafai kuwa kiongozi huyu mtu unless amejisafisha na kurudisha hizo pesa


EmoticonEmoticon